VITENGE..NA..MATENGE..KARIBU KWENYE TOVUTI YAKO ITAKAYOKUELEZA MAMBO YOTE YA MITINDO YA KIAFRIKA..NAMNA YA KUFUNGA MALEMBA,MITINDO MIPYA NA KADHALIKA..KARIBUNI
Friday, June 25, 2010
NIMEUPENDA HUU MSHONO..
NAUTAFUTIA TU SEHEMU YA KWENDA KUUVALIA,IPO SIKU TU MTANIONA NIMETILILIA HII NGUO..MSIKAE MKASHANGAA..HIVI NI VIJIMAMBO TU.
No comments:
Post a Comment