Tuesday, June 29, 2010

GELE

'GELE" ni neno la Kiyoruba linalomaanisha matambaa ya kichwani ya wanawake,Wayoruba ni watu waishio kusini mwa Nigeria,na ni kabila kubwa kuliko yote kutoka jangwa la sahara.Wanawake wa kiyoruba wanasifika sana kwa ufungaji vilemba kichwani,japokuwa malemba yanavaliwa na karibu wanawake wengi wa kiafrika,gele sio tu ni kilemba bali ni kipaji cha sanaa.
No comments:

Post a Comment