
Tuesday, August 16, 2011
Sunday, February 13, 2011
Sunday, September 19, 2010
Nguo za Lesi

Hii picha ya mwanzo kabisa Chantal amevaa nguo ya sketi nyeusi na blausi nyeusi ya lesi




katika picha hiyo nyingine hii Chantal amevaa sketi nyeusi na blausi nyeupe iliyopitishwa lesi kwa juu...mfano imefumiwa....imependeza sana....
katika picha hii Madam amevaa nguo ya machungwa...na shati la lesi nyeusi...angalia jinsi nguo yake inavyotokeza kwenye shati la lesi nyekundu....ni nzuri mpaka basi....
na hii picha Mama Biya amevalia nguo ya lesi ya kizambarau iliyotulia na kofia ya misalaba maalum kwa ajili ya Papa...

Saturday, September 18, 2010
MAGAUNI YA UKWELI...
HARUSI.
Friday, July 9, 2010
Subscribe to:
Posts (Atom)