Tuesday, June 29, 2010

NAMNA YA KUFUNGA 'GELE"...

GELE

'GELE" ni neno la Kiyoruba linalomaanisha matambaa ya kichwani ya wanawake,Wayoruba ni watu waishio kusini mwa Nigeria,na ni kabila kubwa kuliko yote kutoka jangwa la sahara.Wanawake wa kiyoruba wanasifika sana kwa ufungaji vilemba kichwani,japokuwa malemba yanavaliwa na karibu wanawake wengi wa kiafrika,gele sio tu ni kilemba bali ni kipaji cha sanaa.




Friday, June 25, 2010

NIMEUPENDA HUU MSHONO..


NAUTAFUTIA TU SEHEMU YA KWENDA KUUVALIA,IPO SIKU TU MTANIONA NIMETILILIA HII NGUO..MSIKAE MKASHANGAA..HIVI NI VIJIMAMBO TU.

AINA MBALI MBALI ZA MALEMBA.


HIZI NI AINA MBALIMBALI ZA KUFUNGA MALEMBA,UNAWEZA UKAFUNGA MAREFU AMA MAFUPI KUTIKANA NA WEWE UNAVYOPENDA.



AINA YA MKUFU WA KUVALIA TENGE,BABU SIO KILA MKUFU UNAVALIA TENGE,SHURTI UWE ULE MWENYEWE.